Ecclesiastes 9:13-14

Hekima Ni Bora Kuliko Upumbavu

13 aPia niliona chini ya jua mfano huu wa hekima ambao ulinivutia sana: 14Palikuwa na mji mdogo uliokuwa na watu wachache ndani yake. Mfalme mwenye nguvu akainuka dhidi yake, akauzunguka akaweka jeshi kubwa dhidi yake.
Copyright information for SwhNEN